UmepataNimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema wewe mmachinga unampa wasiwasi
Kwa nini usiandike tu, unafanya biashara (bila kuifafanua).... na kama hutaki mwanamme tegemezi utamjua tu mapema. Binafsi napendelea mwanamke ambaye ni jembe...na akiwa na miaka above 30s the better
Unataka mathna bibieWeka Vigezo ramadhani ipo karibu 😀
Tupike uji
HapnaUnataka mathna bibie
mathna ndio nini, Mke wa pili?Unataka mathna bibie
Tatizo hawana na hawajui uadulifu wanaoa sababu ya tamaa ya kutimiza haja zao za kimapenzmathna ndio nini, Mke wa pili?
kama ni mke wa pili, natamani sana watu wakubali kuoa/olewa mke wa pili bale Dini inaporuhusu
Ili kupumguza watoto wa mitaani na single mothers
Mfano: ilionekana mwaka jana jijini Nairobi Single mother na watoto wa mitaani wapo kwa maelf hata wanashindwa kuwa manage ILA jiji kama Mombasa lenye waislam wengi, single mother na watoto wa mitaani ni wakutafuta. Na hii ipo hivyo hivyo kwa Nchi zenye waislam wengi.
Tukubali tusikubali; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na ukichukulia wapo wanaume wengi tu ambao hawaoi/hawataoa
Tusipokubali/ruhusu kuoa/olewa mke wa pili, tutegemee janga la Umalaya kuongezeka, Magonjwa ya zinaa kuongezeka, single mother na watoto wa mitaani, Wizi/vibaka nk nk kuongezeka!
Uislam ulisha yaona hayo yote!
Tatizo hawana na hawajui uadulifu wanaoa sababu ya tamaa ya kutimiza haja zao za kimapenz
Mm naona mtu mchaMungu ni yule mwenye kusaidia yatima na wajane pamoja na nduguzake huyo hata akioa nakuwa naona ana Imani kidogo anaweza kuwa anaweza pia kufanyia uadulifu wake zake ila sio Hawa tulonao wao Sunna wanayoijua ni hiyo tu