Natafuta mchumba mwenye akili

Natafuta mchumba mwenye akili

HRM

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
16
Reaction score
1
JF members,
najua wengi wetu tupo single humu kama vipi tuwasiliane jamani..
 
Kuwa muwazi basi,mwenye akili ipi,ya darasani au ya maisha?
 
JF members,
najua wengi wetu tupo single humu kama vipi tuwasiliane jamani..

kwa gigezo hicho tu dada yangu utawapata wengi humu2, ila usisahau kutualika mahanjuuz !!!!
kila la kheri...
 
Akili za shule, akili za maisha, akili za mtaani!?...Funguka Mkuu!!!!

 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri shosti HRM
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza hivi hawa wanaotafutaga wachumba kama matangazo ya biashara huwa wanafanikiwa.
 
JF members,
najua wengi wetu tupo single humu kama vipi tuwasiliane jamani..

Je utakubali kumake up beach? My young bro The Boss anapenda hiyo kitu! Na ni bonge la single!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwamshambulia,jaman wakaka mlio singles mpeni ushirikiano shosti yuko lonely hadi anakwenda beach peke yake.
 
wewe ni jinsia gani? zomba atakufaa anatafuta mke wa 4
 
Last edited by a moderator:
Kwani jinsia yako ni multipurpose kinda thing? Naogopa kuchangamkia ila nna akili kiasi cha mboga.
 
Back
Top Bottom