oi haya we msubiri ila naona wadau wengi humu washataja jinsia yake.... kwani na wewe hauna tatizo na Usalama Jabir?
Hehehe, hiyo ya kulambalamba inabidi kutulia kama unanyolewa, ulivyo mcharu wewe sijui kama hutang'atwa!
Mi naweza hiyo kazi we njoo tu nkumalizie kazi yako Kongosho, sharti ni hilo moja tu lazima nitumie ulimi kukuwekea" ka muti"nitakufuata PM unipe mbinu mbadala.
Labda nimtafute mganga wa kulamba nanii maana kazi ipo.
itabidi tu, siku ya tatu hajarudi home.
Nimechoka kuvumilia, ngoja nifuate ushauri wa Natalia, hakuna kuvumilia
ni kuchop money tu.