Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

madam boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
701
Reaction score
742
Habari zenu,

Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.

Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia 35-45, awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali.
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume nitakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Nitampenda.

Mnakaribishwa pm.

Sibagui dini.
 
Mmh! Nadhani umri ndio kikwazo, ingawa Nime kusudi Ila range yako ni kubwa . Walifikia acha eachuchukue mkw
 
Habari zenu.
Nimekuja Kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years,natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa Zake.
Awe na miaka kuanzia 35-45,awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali,,
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi Sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida Kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume ntakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Ntampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini. [emoji120][emoji120][emoji120]
Nifikirie mie wa 27,Hutojutia.
 
Ukikuta Mwanaume Mwenye Umri 35+

Ambaye Hana Mtt Wala Mke Au Hata Hayupo Katika Mahusiano Ambayo Yatapelekea Ndoa Bass Uyo Si Mwanaume Bali Ni Katoon

Mapenz Hayana Umri Kabila Wala Langi

Mapenz Ni Hisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom