Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

Habari zenu.
Nimekuja Kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years,natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa Zake.
Awe na miaka kuanzia 35-45,awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali,,
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi Sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida Kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume ntakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Ntampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini. [emoji120][emoji120][emoji120]
madam boss, nakumbusha ukipunguza miaka nitafute.
 
Hapana. Ngoja wajinga wajinga watajitokeza. Sisi wajanja hatuwezi kujilipua hivyo. Ngoja wawekezaji n wadhadhili watajitokeza. Mimi binafsi sijawahi kuona mchezaji wa Simba analipwa na Yanga
[emoji23]
 
Dah! Nimekosa mke tena aliye seriously.
Vigezo vyote ninavyo isipokuwa umri tu.

Ngoja nisubirie mwingine atakayelegeza kwenye umri.
 
hapo juu hakuna mwanamke bali mjinga fulani hivi asiejua anataka nini wala kesho kitatokea nini,yaani nihangaike peke yangu kutafuta alafu wew uje tu uolewe alafu zile mali nilizotafuta mwenyewe ziwe zetu?,pia kama wew ni bikra hapo sawa LA ni shimo la HEWA hapana carry on to wait for some of the best fools at JF to come;
kwanini wanawake wengi mnataka wanaume tuwe na vile vitu ambavyo hamna ndio tuwaoe?,najua neno hili tu,mwanamke wa kusema hayo ni tegemezi tupu sidhani kama anafaa kuolewa ingawa kulingana na maisha haya kuna watu watajifanya waoaji ngoja waje;
sijatukana;
 
Mi tafsiri ya neno "Kupenda" ndo inaniumizaga kichwa, anyway Kila la heri mkuu, Mungu akupatie hitaji ulitafutalo,
 
Habari zenu.
Nimekuja Kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years,natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa Zake.
Awe na miaka kuanzia 35-45,awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali,,
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi Sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida Kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume ntakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Ntampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mwalimu Wangu Aliniambia Ukitaka Kumpima Mtu Ukomavu Wa Akili Yake Tazama Na Sikiliza Anavyoongea
Madam Boss Still You Need Lesson
 
Habari zenu.
Nimekuja Kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years,natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa Zake.
Awe na miaka kuanzia 35-45,awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali,,
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.

Mimi Sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida Kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume ntakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Ntampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini. [emoji120][emoji120][emoji120]
A word of advise sio lazima utilie maanani.

"HUSBAND MATERIAL IS CREATED, CREATE YOURS"

Kwa namna hii, humu utalia tuu, wanaume siye ni wadonoaji sana na tunapenda kunusanusa tuu. Nikiangalia na huo umri unahitaji awe nao mwanaume, wengine utakuta ni akina siye wenye watoto zaidi ya watatu kila mmoja ana mama ake huko na bado tunaishi kibachela.
 
Hyo miaka ni mingi sana zaid zaid utapata single father[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukibahatika basi utapata mgane
 
Back
Top Bottom