Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,414
- 868
Kumbe unajaribu? Kila la kheri mamaaNgoja nijaribu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajaribu? Kila la kheri mamaaNgoja nijaribu tu
Sifa zako zingine?..i.e msambwanda etcHabari zenu,
Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia 35-45, awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali.
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.
Mimi sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume nitakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Nitampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini.