Yasser
Member
- Nov 27, 2007
- 52
- 28
Habari zenu,
Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia 35-45, awe na kazi nzuri inayomuingizia kipato halali.
Awe na mapenzi ya dhati, msafi, mcheshi, anaejali.
Mimi sina hela kwa hiyo sitaki mwanaume mwenye shida kama zangu.
Mario hawahitajiki.
Nipo serious, nimechoshwa na upweke kwa kweli.
Mwanaume nitakaye mpata, ambae atakuwa mume wangu hatojutia kunifahamu. Nitampenda.
Mnakaribishwa pm.
Sibagui dini.
mrembo,
tupo wengi wenye sifa hizo,
tunaomba na wewe utuletee jambo picha tuweze kukuhakiki.