Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Wewe kafiri unategemea muislamu gani atakuozesha binti yake?
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM
Huyo mchumba unamtafuta baada ya kufika huko kwenye hilo jukwaa la Siasa??? Wewe nawe...............
Kabla ya kupita huko ilikuwa yeyote tu japo mzungu, kwani wee dena sio mzenj vile?
unataka wa mke au mme au mchanganyiko?
Mie ni mchina hung hahe hong upo tayari!!!???
Mh! hung=kofi, hahe=teke, hong=kichwa, ndo ntakuwa na ndoa ya salama mie-m-mh mwili wangu naupenda wee kama mchina na mzenj wa hata kama kutoka mfereji maringo bora bac.
Mheshimiwa speakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ni bint bana wa kizanzibari bac
wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.wanadai wadada wa bara hamtaki kuwa kwenye mitala as a result wanaume wengi bara kuwa na nyumba ndogo imekuwa ndiyo fashion.
my wife wangu nimemkuta huku anajinadi mzenji wakati siyo!
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.