Natafuta mchumba mzenj

Natafuta mchumba mzenj

Mipangomingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
2,713
Reaction score
2,062
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba binti mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM
 
Hiyo ndoa yako itakuwa kama ule udongo uliochanganywa wakati wa Muungano; na familia yako itatunzwa pale ulipotunzwa ule udongo.
 
Wewe kafiri unategemea muislamu gani atakuozesha binti yake?
 
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM

Huyo mchumba unamtafuta baada ya kufika huko kwenye hilo jukwaa la Siasa??? Wewe nawe...............
 
Huyo mchumba unamtafuta baada ya kufika huko kwenye hilo jukwaa la Siasa??? Wewe nawe...............

Kabla ya kupita huko ilikuwa yeyote tu japo mzungu, kwani wee dena sio mzenj vile?
 
unataka wa mke au mme au mchanganyiko?
 
Mie ni mchina hung hahe hong upo tayari!!!???

Mh! hung=kofi, hahe=teke, hong=kichwa, ndo ntakuwa na ndoa ya salama mie-m-mh mwili wangu naupenda wee kama mchina na mzenj wa hata kama kutoka mfereji maringo bora bac.
 
Mh! hung=kofi, hahe=teke, hong=kichwa, ndo ntakuwa na ndoa ya salama mie-m-mh mwili wangu naupenda wee kama mchina na mzenj wa hata kama kutoka mfereji maringo bora bac.

Kumbe wewe unaleta ugomvi wa mawe na unaishi nyumba ya viooo eeee????!!!!
 
wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???
 
wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???

wanadai wadada wa bara hamtaki kuwa kwenye mitala as a result wanaume wengi wa bara, kuwa na nyumba ndogo imekuwa ndiyo fashion.
 
my wife wangu nimemkuta huku anajinadi mzenji wakati siyo!
 
wanadai wadada wa bara hamtaki kuwa kwenye mitala as a result wanaume wengi bara kuwa na nyumba ndogo imekuwa ndiyo fashion.
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.
 
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.

muungano si tatizo, tatizo ni nyodo, maringo na majivuno ya wadada wa bara. Muungano ukivunjika wakaka watakwenda DRC, zambia au malawi.
 
basi kama hivyo bora huo muungano ufie mbali kuliko mambo ya kutukosesha waume.Okoeni jahazi chezeni uwanja wa nyumbani mwacheni mleta sredi aende kuoa zenji mwenyewe.

Aaaaa, marytina wee, mbona unataka kuniharibia, mambo yenyewe ndo unayaona hayo hata pm moja sijaipata then unataka kuwafukuza washauri-Mi mbona nilianzia huku bara lakini kila mmoja anadai "hafikirii kuolewa kwa sasa" nimeamua kuvuka bahari mnadai nimewakimbia! dah, kweli ulimwengu mgumu!!!
 
Back
Top Bottom