Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba binti mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM
Muhitaji wa kweli ani-PM