Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nakuombea... Na kama uko tayari njoo pm nikushauri kituHabari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito wangu ni kg60
Vigezo vya ninayemuhitaji:
> Awe mkristo
> Elimu yake akinizidi mimi hapo itakuwa safi.
> Awe ameajiriwa au kujiajiri.
> Kama anakunywa basi sio mlevi.
> Asivute sigara
> Awe na mapenzi ya dhati .
> Kabila lolote
Mengine tutaeleweshana inbox .
Karibu.
Jr[emoji769]