Natafuta mchumba, nimechoka upweke

Natafuta mchumba, nimechoka upweke

...kumbe uko kusini mwa nchi yetu, nami niko huku huku uliko na ninakusalimia
 
Hebu nifafanulie
Wanawake wanachagua kwa vigezo vyao sana hawaangalii kupendwa...ilihali ukipendwa unakuwa una amani ujue mwanzon unaweza kuwa humpendi ndio ila kadri unavoishi nae moyo huanza kumpenda taratbu hasa huyo mtu akiwa hayupo ndo unaanza kumiss uwepo wake...asa wanawake single wengi hutaka pale wakikutana tu na moyo umridhie kulingana na taswira alyonayo kichwan kingekuwepo kitu kama hicho zaman mamazetu had saivi wangekuwa hawajaolewa kwasababu walikuwa wanachaguliwa waume.
 
barikiwa.......hizi sera zako ndio shida....uchumba huanzia kwenye urafiki......sasa wewe umejipangia kabisa....sawa MUNGU ndio hutoa...utowaji wake na yeye una viwango....umri unakwenda dada.......ila utapata
 
Aisee umeandika vizuri adi kilogram umetuandikia, nitakutafuta nipo nipo Mikindani hapa maana haujataka kigezo cha umri
 
Mi Nina mapenzi ya dhati ila Nina kibamia,
Nije inbox?
 
Dah! nimesoma ule uzi wako mwingine nimenyong'onyea uliposema nyuma kuko flat!!! Habari ya mjini kwa sasa ni walau kuwe na chura hata mdogo. Ila asipokuwepo kabisa, aisee ni tatizo.

Siku nikija Ntwara nitakutafuta PM nikuone kwanza.
 
Unajifaragua hapa lakini unakuta umezaliwa na hiyo hiyo flat.

Mitandao hii [emoji1316]
 
Yaani kukosa tu "Chura" kumekukosesha mume hivi hivi! Mimi nataka mwanamke aliyekamilika ili nisihangaike na wapita njia. Hebu fanya mazoezi ya kuongeza hiyo chura halafu unitafute mapema.
 
Unajifaragua hapa lakini unakuta umezaliwa na hiyo hiyo flat.

Mitandao hii [emoji1316]

Sasa kuzaliwa na flat kuna uhusiano gani na mimi kuchagua kile ninachokitaka katika maisha yangu!🙄

Kuna wengine wanataka hao hao wenye flat! Hivyo hutakiwi kupaniki bila sababu maana hii ni dalili mojawapo ya kutojiamini kwa mwanamke vile jinsi alivyo. Mkuu jivunie tu na hiyo flat uliyo nayo! Utapata tu mdau utakaye mvutia. Kila mtu na chaguo lake, hivyo tusipangiane.
 
Sasa kuzaliwa na flat kuna uhusiano gani na mimi kuchagua kile ninachokitaka katika maisha yangu![emoji849]

Kuna wengine wanataka hao hao wenye flat! Hivyo hutakiwi kupaniki bila sababu maana hii ni dalili mojawapo ya kutojiamini kwa mwanamke vile jinsi alivyo. Mkuu jivunie tu na hiyo flat uliyo nayo! Utapata tu mdau utakaye mvutia. Kila mtu na chaguo lake, hivyo tusipangiane.
Naona wewe ndio umepanic na kuongea kwa uchungu mkali,
Haya kimbia kwa mama akupe pipi upunguze hasira mtoto mzuri,

Lol, [emoji23]
 
2018 hadi leo hujapata? JF yote!! Hata huko kitaani kwako?

Hivi kwani wanaume ndiyo wamekuwa adimu hivyo au shosti uko too selective? Being too selective itakucost, utakuja kuwapata na wale fisi wenye ngozi za kondoo...shauri yako
Tatizo ametuchuja Sana.. sisi ambao tumeishia la 7 B. Hatuna nafasi yani
 
ingia insta search chris mauki kisha zama kwenye account yake utakuta link nyingi nyingi kwenye bio yake chagua ya telegram jiunge group lake maana mule ndo kuna wanawake karibia 6000 wanaotafuta waume.
Sina kingine cha kukusaidia shangazi. [emoji4][emoji4]

《Caprichar o teu sorriso》
 
Back
Top Bottom