mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
[emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe mpo wengi mlikuwa mnatafuta!!!mbona nyie mnaokubali kuwa mko tayari mlikuwa hamjaandika tangazo la kutafuta??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe mpo wengi mlikuwa mnatafuta!!!mbona nyie mnaokubali kuwa mko tayari mlikuwa hamjaandika tangazo la kutafuta??
njoo in boxNahitaji mwenza ambaye atakuwa tayari kufunga ndoa soon.
Mwanamke ninayependa awe mke wangu awe na sifa zifuatazo.
Mwaminifu
Mkweli
Miaka 26-34
Mwenye shughuli ya kipato halali
Mkristo kama siyo awe tayari kubadili dini
Mwenye mapenzi ya dhati
Angalau kidato cha NNE.
Sifa zangu
Miaka 34
Mkweli
Mwaminifu
Muajiriwa
Elimu ya juu
Mkristo
Mwenye nia ya dhati aje pm.