Natafuta mchumba tufunge ndoa

Natafuta mchumba tufunge ndoa

bujumbura

Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
69
Reaction score
84
Nahitaji mwenza ambaye atakuwa tayari kufunga ndoa soon.

Mwanamke ninayependa awe mke wangu awe na sifa zifuatazo.

Mwaminifu
Mkweli
Miaka 26-34
Mwenye shughuli ya kipato halali
Mkristo kama siyo awe tayari kubadili dini
Mwenye mapenzi ya dhati
Angalau kidato cha NNE.

Sifa zangu
Miaka 34
Mkweli
Mwaminifu
Muajiriwa
Elimu ya juu
Mkristo

Mwenye nia ya dhati aje pm.
 
Unatafuta mchumba tena wa kufunga naye ndoa Kirahisi hivyo........ukiumia usije kuria ria hapa
 
Siyo uchoyo mkuu tatizo mkipewa hamtaki kuoa tena
mpaka mtu anaamua kutooa kuna vitabia anakuwa ameviona ambavyo anahisi hatavivumilia. mfano vizinga, ukicheche, nk. otherwise sidhan kama mtu atakubwaga hivi hivi. labda ulazimishe jamaa awe hajakupenda.
 
mkuu nipo tayari ila tutafunuana tukila kiapo cha kifo tu kitutenganishe
 
Kumbe mpo wengi mlikuwa mnatafuta!!!mbona nyie mnaokubali kuwa mko tayari mlikuwa hamjaandika tangazo la kutafuta??
 
Nahitaji mwenza ambaye atakuwa tayari kufunga ndoa soon.

Mwanamke ninayependa awe mke wangu awe na sifa zifuatazo.

Mwaminifu
Mkweli
Miaka 26-34
Mwenye shughuli ya kipato halali
Mkristo kama siyo awe tayari kubadili dini
Mwenye mapenzi ya dhati
Angalau kidato cha NNE.

Sifa zangu
Miaka 34
Mkweli
Mwaminifu
Muajiriwa
Elimu ya juu
Mkristo

Mwenye nia ya dhati aje pm.
Suali kidogo elimu haina steps
 
Back
Top Bottom