Natafuta mchumba, upweke umezidi

Fanya kweli sasa mkuu..
Sifa zake
Jobless degree holder
Mstaarabu na mwenye aibu 89%
Mcha Mungu(KKKT)
Mweusi kiasi(maji ya kunde)
Mrefu wa size
Ana heshima sana (kakuzwa kimaadili na wazazi wote wawili)
Anahitaji sana ndoa kuliko mapenzi(hapa ndio kila kitu kwake)
kabla sijasahau ana bonge la komwe.
anahitaji mtu alie siriazi kweli kweli
 
nipe connection pm
 
Picha yako pls tuone Mwonekano wako kwanza maana siyo kwa Mavigezo hayo[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Vp umepata au nikupe dada angu ana kucha kama Cardi B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…