Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
- Thread starter
- #21
Mimi sio mwalimu..Diyo mwalimu! Mshahara wako unatosha lakini? Kama unatosha basi nikuunganishe na Binti wa wa mjini ambaye chakula chake kikuu ni chips mayai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mwalimu..Diyo mwalimu! Mshahara wako unatosha lakini? Kama unatosha basi nikuunganishe na Binti wa wa mjini ambaye chakula chake kikuu ni chips mayai
Nakuamshia uzi mzeeMimi huwa sipendi kwenda na upepo mdada..tafuta kitu kingine tufanye kesho
SawaNakuamshia uzi mzee
Me siko available
Sifa zakeFanya kweli sasa mkuu..
😂Mchumba kwanza kuna namba zinauzwa za kill marathon
Twende kesho tukapimane pumzi kama tutafaana
😂😂😂
nipe connection pmSifa zake
Jobless degree holder
Mstaarabu na mwenye aibu 89%
Mcha Mungu(KKKT)
Mweusi kiasi(maji ya kunde)
Mrefu wa size
Ana heshima sana (kakuzwa kimaadili na wazazi wote wawili)
Anahitaji sana ndoa kuliko mapenzi(hapa ndio kila kitu kwake)
kabla sijasahau ana bonge la komwe.
anahitaji mtu alie siriazi kweli kweli
Mtego gani?Mtego
Rola Alexander
Pita hapa mkuu
sawaaa 😂Rola Alexander
Pita hapa mkuu
Sifa zote unazo hapo, Ile wako sasa usiolewe mwaka huu 😂
KisaNimeghairi
Picha yako pls tuone Mwonekano wako kwanza maana siyo kwa Mavigezo hayo[emoji1][emoji2][emoji3]Habari,
Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa.
Sifa zangu;
Umri 27
Kazi: Nimeajiriwa
Mkoa: Arusha
Elimu: Degree
Dini: Roman Catholic
Mwanamke ninayemtaka
Umri: 20-27
Elimu:Form four na kuendelea
Kama upo tayari ni PM please.
Vp umepata au nikupe dada angu ana kucha kama Cardi BHabari,
Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa.
Sifa zangu;
Umri 27
Kazi: Nimeajiriwa
Mkoa: Arusha
Elimu: Degree
Dini: Roman Catholic
Mwanamke ninayemtaka
Umri: 20-27
Elimu:Form four na kuendelea
Kama upo tayari ni PM please.