Natafuta mchumba, upweke umezidi

Natafuta mchumba, upweke umezidi

Fanya kweli sasa mkuu..
Sifa zake
Jobless degree holder
Mstaarabu na mwenye aibu 89%
Mcha Mungu(KKKT)
Mweusi kiasi(maji ya kunde)
Mrefu wa size
Ana heshima sana (kakuzwa kimaadili na wazazi wote wawili)
Anahitaji sana ndoa kuliko mapenzi(hapa ndio kila kitu kwake)
kabla sijasahau ana bonge la komwe.
anahitaji mtu alie siriazi kweli kweli
 
Sifa zake
Jobless degree holder
Mstaarabu na mwenye aibu 89%
Mcha Mungu(KKKT)
Mweusi kiasi(maji ya kunde)
Mrefu wa size
Ana heshima sana (kakuzwa kimaadili na wazazi wote wawili)
Anahitaji sana ndoa kuliko mapenzi(hapa ndio kila kitu kwake)
kabla sijasahau ana bonge la komwe.
anahitaji mtu alie siriazi kweli kweli
nipe connection pm
 
Habari,

Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa.

Sifa zangu;

Umri 27

Kazi: Nimeajiriwa

Mkoa: Arusha

Elimu: Degree

Dini: Roman Catholic

Mwanamke ninayemtaka

Umri: 20-27

Elimu:Form four na kuendelea

Kama upo tayari ni PM please.
Picha yako pls tuone Mwonekano wako kwanza maana siyo kwa Mavigezo hayo[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Habari,

Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa.

Sifa zangu;

Umri 27

Kazi: Nimeajiriwa

Mkoa: Arusha

Elimu: Degree

Dini: Roman Catholic

Mwanamke ninayemtaka

Umri: 20-27

Elimu:Form four na kuendelea

Kama upo tayari ni PM please.
Vp umepata au nikupe dada angu ana kucha kama Cardi B
 
Back
Top Bottom