Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

Good luck finding the right partner. Kudos kwa kuwa muwazi. U have a long life ahead of you. God bless
 
Si muda wa kumtafuta but kuomba na kusali u mgonjwa afu ungali unawashwa washwa tuu. Please live yur life.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee obell kuwa muathirika wa ukimwi haimaanishi kuwa wewe sio binadamu Tena coz kila kitu ni sawa na watu wengine hata hisia wanapata sana na usishangae mgonjwa wa Leo wa ukimwi akaishi Maisha marefu zaidi ya mgonjwa wa kansa na kisukari wa kesho
 
Si muda wa kumtafuta but kuomba na kusali u mgonjwa afu ungali unawashwa washwa tuu. Please live yur life.

Sent using Jamii Forums mobile app
I think it should be the vice versa,you are the one to live your life na uache kuangalia ambayo unajua utatoa negative thoughts.
Kwani mtu akiathirika ndio anapoteza humanity behaviours?? We wa wapi? Na haimaanishi ukiupata ndio kufa,wapo wanaoweza kuhandle the situations.
Congrats Dada ake,hope utapata mtu wa kujenga nae family,since there is a possibility ukashika mimba na kuzaa mtoto salama kabisa,I wish you the best of lucky.
Please endelea kukeep others safe.
May our Almighty God bless you.
 
Kwani dada unaitaji wa hali kama yako tu!?, mbona unatubagua wengine lakini!!?, mimi nime-mind [emoji53][emoji1549][emoji1549]
 
Jaman usiseme hivo, Kwan kila mtu Ana haki ya kumtaka mwanaume anayemwitaji
 
Umenigusa sana dada yangu,Kila la kheri MUNGU akutangulie.
 
Kwanza nakupongeza kwa kujitambua na kuwa muwazi, Mungu akupe moyo wa kijasiri zaidi.
Pili ningependa kufahamu unamaanisha nini unaposema mwanaume aliye na hali kama yako? je, unamaanisha awe HIV+ pia?
Mimi ninakushauri utafute mwanaume yeyote aliye tayari, si lazima awe HIV+. Nasema hivi kwa sababu wengi wenye hali hii ni wazito kufikiria mbele kama wewe. Wengi hawapati ushauri nasaa na tiba ya kisaikolijia kujikubali kama ulivyojikubali wewe. Wengi wameshakata tamaa!
Ondoa hicho kigezo cha HIV+, werevu wataelewa na watakuja.
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom