donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeee obell kuwa muathirika wa ukimwi haimaanishi kuwa wewe sio binadamu Tena coz kila kitu ni sawa na watu wengine hata hisia wanapata sana na usishangae mgonjwa wa Leo wa ukimwi akaishi Maisha marefu zaidi ya mgonjwa wa kansa na kisukari wa keshoSi muda wa kumtafuta but kuomba na kusali u mgonjwa afu ungali unawashwa washwa tuu. Please live yur life.
Sent using Jamii Forums mobile app
I think it should be the vice versa,you are the one to live your life na uache kuangalia ambayo unajua utatoa negative thoughts.Si muda wa kumtafuta but kuomba na kusali u mgonjwa afu ungali unawashwa washwa tuu. Please live yur life.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaKwanza nakupongeza kwa kujitambua na kuwa muwazi, Mungu akupe moyo wa kijasiri zaidi.
Pili ningependa kufahamu unamaanisha nini unaposema mwanaume aliye na hali kama yako? je, unamaanisha awe HIV+ pia?
Mimi ninakushauri utafute mwanaume yeyote aliye tayari, si lazima awe HIV+. Nasema hivi kwa sababu wengi wenye hali hii ni wazito kufikiria mbele kama wewe. Wengi hawapati ushauri nasaa na tiba ya kisaikolijia kujikubali kama ulivyojikubali wewe. Wengi wameshakata tamaa!
Ondoa hicho kigezo cha HIV+, werevu wataelewa na watakuja.