Natafuta mchumba wa kike kiziwi

Natafuta mchumba wa kike kiziwi

Amjei

Member
Joined
Jan 25, 2016
Posts
5
Reaction score
1
Kwa yeyote ambaye ni msichana kiziwi umri 17-23 comment hapa
 
Kweli kila mtu ana anacho kipenda,
 
Okay ila angalia isije ikawa una mpango wa kando. hao wanalindwa na Mungu kwa upendeleo maalum saa 24.
 
Sawa ila nenda kwa vituo vyao,nilisoma nao wako poa sema wako na hasira and walikuwa wakisoma kwa miaka miwili kila darasa nisijue kwa sasa,so kuja maliza darasa LA saba anakuwa karibu au ana umri unaotaka wewe.
 
Pale buguruni shule ya msingi ya viziwi kuna totoz wakali sana ila hawasikii vizuri, yaani daaaahh utapatwa huruma
 
Back
Top Bottom