Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
good luck. hawapatikani kirahisi hao, lazima uwe Moran. unajua maana ya Moran?
Wewe nikikukamata?! Eti wairaq nota bene si wambulu hatupendi wazungu kamwe mwongo mkubwa weweWengi wao waliokulia atown wanamawazo ya kuolewa na wazungu kama wambulu.hata ukiwa nae akitokea mzungu yupo radh akuache aondoke na mzungu baadhi yao they dnt hv realy love
Ndugu Mwanakili unaweza kuua simba weye!? Haya jaribu
mbona umepanic sana! Ila wadad weng na vijana waliokulia atown wanakuwa na akili za zali la kuowa/kuolewa na mzungu.Eti wairaq nota bene si wambulu hatupendi wazungu kamwe mwongo mkubwa wewe
RR sio wote wataolewa kwa kufuata mila za kikwao wapo wasomi na wanaojua upepo wa mapenz unavumia pande gani.
Morani hausiani na upatikanaji wa mrembo wa kimaasai.
May b kama unarafk yako yupo single {maasai} uumpe news.
Thanks.
huogopi mori ikiwapanda?!
utaweza kumlinda kwa salama?
mbona umepanic sana! Ila wadad weng na vijana waliokulia atown wanakuwa na akili za zali la kuowa/kuolewa na mzungu.
Yeah_i hv one!...they are real good..............me love themNimekaa chini nikafiria, wanawake wengi sana kwenye hii Tanzania,nimewapata wa aina tofauti tofauti,ckuwa na mipango nao endelevu zaidi ya raha za muda tu.
Ila napenda nipate kabinti kazuri cha kimasai ambacho katakuwa kangu ka maisha.
Wamasai popote mlipo,au kama unarafiki wa kimasai plz mjulishe nipate ubavu wangu wa pili.
Natanguliza shukrani.