Natafuta mchumba wa KIMAASAI.

Natafuta mchumba wa KIMAASAI.

Mwanakili90

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,568
Reaction score
245
Nimekaa chini nikafiria, wanawake wengi sana kwenye hii Tanzania,nimewapata wa aina tofauti tofauti,ckuwa na mipango nao endelevu zaidi ya raha za muda tu.
Ila napenda nipate kabinti kazuri cha kimasai ambacho katakuwa kangu ka maisha.
Wamasai popote mlipo,au kama unarafiki wa kimasai plz mjulishe nipate ubavu wangu wa pili.
Natanguliza shukrani.
 
good luck. hawapatikani kirahisi hao, lazima uwe Moran. unajua maana ya Moran?
 
good luck. hawapatikani kirahisi hao, lazima uwe Moran. unajua maana ya Moran?

RR sio wote wataolewa kwa kufuata mila za kikwao wapo wasomi na wanaojua upepo wa mapenz unavumia pande gani.
Morani hausiani na upatikanaji wa mrembo wa kimaasai.
May b kama unarafk yako yupo single {maasai} uumpe news.
Thanks.
 
Wengi wao waliokulia atown wanamawazo ya kuolewa na wazungu kama wambulu.hata ukiwa nae akitokea mzungu yupo radh akuache aondoke na mzungu baadhi yao they dnt hv realy love
 
Wengi wao waliokulia atown wanamawazo ya kuolewa na wazungu kama wambulu.hata ukiwa nae akitokea mzungu yupo radh akuache aondoke na mzungu baadhi yao they dnt hv realy love
Wewe nikikukamata?! Eti wairaq nota bene si wambulu hatupendi wazungu kamwe mwongo mkubwa wewe
 
RR sio wote wataolewa kwa kufuata mila za kikwao wapo wasomi na wanaojua upepo wa mapenz unavumia pande gani.
Morani hausiani na upatikanaji wa mrembo wa kimaasai.
May b kama unarafk yako yupo single {maasai} uumpe news.
Thanks.

Mkubwa! RR yuko sahihi! Ila we cha kufanya,piga kimya kidogo halafu fanya utafiti upya Kamanda wangu kwani naona kama umelenga penyewe.
 
Usichoke kutafuta utapata tu kumbuka kuwa tushakuwa na mawaziri wakuu wawili toka umasaini,na tumeshapata chief of staff mmasai hivyo ukitembelea maeneo yao utawapata tu binti zao.
 
mbona umepanic sana! Ila wadad weng na vijana waliokulia atown wanakuwa na akili za zali la kuowa/kuolewa na mzungu.

Shindwa na ulegee mwongo mkubwa wewe mbona mie nimeolewa na mkurya?? Huyo nae ni mzungu (Ukitaka kuhakikisha muulize Mwita Maranya atakwambia)
 
Njo Arachuga nikupeleke Longido au Loliondo au ngoro*2 porin utawapata wale wa asili kabisa,sio wale waliochakachuliwa!
 
Nimekaa chini nikafiria, wanawake wengi sana kwenye hii Tanzania,nimewapata wa aina tofauti tofauti,ckuwa na mipango nao endelevu zaidi ya raha za muda tu.
Ila napenda nipate kabinti kazuri cha kimasai ambacho katakuwa kangu ka maisha.
Wamasai popote mlipo,au kama unarafiki wa kimasai plz mjulishe nipate ubavu wangu wa pili.
Natanguliza shukrani.
Yeah_i hv one!...they are real good..............me love them
 
Back
Top Bottom