Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Yaaani miaka miaka miaka miaka miaka
Yes ,

Wasifu wako pale mwanzo umeiweka wazi. Sasa mambo ya ndoa hayataki masharti hayo. Wewe tafuta mchumba (mtu) yeyote atakayekuheshimu na kukupenda kwa jinsi ulivyo.

Hata dini usiitangulize sana . Wapo wengine nje ya imani yako . Wana utu , upendo & heshima kuliko wa imani yako asiyekuheshimu.
 
Mkuu mbona unampangia, ivo ndio vigezo vyake. Kwa ufupi ilo ni tangazo kama unasifa tuma maombi kama huna kausha, hajaja humu kuomba ushauri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume gani akae 41 yrs bila mchepuko wala mtoto wa kubambika. Utapata wapi uzoefu ?!.
Mbona wapo tu mzee? Kwenye Kila wanaume waliochelewa kuoa Basi jua wapo na wanawake waliochelewa kuolewa

Kwenye Kila wanawake waliochelewa kuzaa basi jua pia wapo na wanaume..

Tangazo lake lipo very straight huna sifa pita kushoto.. Hajasema anataka ushauri wa jinsi ya kupata mchumba/mume

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kama upo serious njoo DM nikuunganishe na mpwa wangu yupo hapo London anafundisha chuo, umri 43 ila sio muislam.
 
Back
Top Bottom