Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Sasa mtu anakujia tu pm kwa kutaka pesa???

Au mnakuwa mshaongeaga.
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta πŸ™πŸ™
 
Utapata dear.
 
Bado hujafanya sawa kuja kutuambia hapa mngemalizana hukohuko pm.

Leo umeombwa Hela umekuja kusema huku kesho ukiombwa tunda pia utakuja kutuambia huku ?

Nimeangalia pia umejiunga juzi tu hapa sasa nashangaa unapotaka kuwa tahadharisha
Wadada wakongwe wa humu ambao washakutana na mengi humu.

Kuifupi nakuona kama una wenge hiviπŸ€”
 
Pole Sana


Vijana walijua wamepata mteremko πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…