Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

kusaidiana katika maisha ni jambo la kawaida sana. Kuna watu wanapitia changamoto kubwa sana katika maisha. Haijalishi ni ke/me. Kutana na hitaji la mtu kwanza na mengine ni ziada tu. Kama kweli ulihitaji mme pengine huyo ndo alikuwa mmeo.
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali.
Hakuwa na jibu sahihi ndio hapo nikawa na hofu. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„
 
Poole sana.

Watanzania tuna matatizo mengi sana kama unaweza saidia basi saidia tu bila kujali na kama huwezi mwambie tu sina basi mnamalizana hukohuko.

Mpaka sasa kuna baadhi ya tabia unaonyesha zinaleta ukakasi kidogo.
Nyie mmekutana huko pm bila kutupa taarifa mlokua mnachat sasa mmeanza kuombana pesa unakuja kututangazia Ili iweje?
 
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.

Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine
kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„
 
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali.
Hakuwa na jibu sahihi ndio hapo nikawa na hofu. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„
Nina kisa cha mtu mmoja ambae alifahamiana na mchumba wake hapa JF na sasa ni wanandoa. Yule dada alimsaidia sana mpenzi wake wakati wa uchumba. Hakujali kwamba ndo walikuwa wanaanza kufahamiana. Baada ya kutambua kwamba ni kweli alikuwa na uhitaji na nia yake ya kuoa ilikuwepo, alianza kusimama nae hadi mshikaji alipopata kazi. Alimsapoti sana na sasa wanaishi pamoja katika ndoa. USHAURI WANGU: Tusiwahukumu watu, waume/wake kwa sababu tu amekuambia shida yake. Mungu amekubariki kwa ulicho nacho ili kupitia wewe, wengine waione nuru. Ukisahau hii kanuni katika maisha, utapoteza kila kitu. Kama hujaridhika nae, muambie inbox kwamba, nashukuru na hilo lipo nje ya uwezo wangu and he'll be grateful!
 
Nina kisa cha mtu mmoja ambae alifahamiana na mchumba wake hapa JF na sasa ni wanandoa. Yule dada alimsaidia sana mpenzi wake wakati wa uchumba. Hakujali kwamba ndo walikuwa wanaanza kufahamiana. Baada ya kutambua kwamba ni kweli alikuwa na uhitaji na nia yake ya kuoa ilikuwepo, alianza kusimama nae hadi mshikaji alipopata kazi. Alimsapoti sana na sasa wanaishi pamoja katika ndoa. USHAURI WANGU: Tusiwahukumu watu, waume/wake kwa sababu tu amekuambia shida yake. Mungu amekubariki kwa ulicho nacho ili kupitia wewe, wengine waione nuru. Ukisahau hii kanuni katika maisha, utapoteza kila kitu. Kama hujaridhika nae, muambie inbox kwamba, nashukuru na hilo lipo nje ya uwezo wangu and he'll be grateful!
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Dada unapenda attention dah! Are you psychologically OK? Are you even a woman?

I see someone who is psychologically disturbed with inferiority complex syndrome and an extreme case of narcissistic personality disorder.

Unajiona uko special sana na unapata furaha na ridhiko la ajabu watu kukaa wanakuongelea.

Niko hapa kama unahitaji msaada wa nasaha na matibabu mengine kwa changamoto zako za afya ya akili zinazokukabili.

Allah Anakupenda na Atakusaidia. Mimi pia nakupenda na nitakusaidia ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ

Angalizo Wagonjwa wengi wa narcissistic personality disorder huwa hawajitambui kama wana tatizo hilo na ukiwakanya ni wakali kweli kweli!
Nilipotukanwa na kuhukumiwa
ilikuwa powa kabisa, na sasa
naombwa pesa nikae kimpya.

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki mnooo, na sasa nazidi kuwafahamu.

Halafu peleleza saaana mimi sipo hapa saaana kwa hiyo furaha yangu sio hapa.
 
Mentally you are not OK. I am here if you need professional help ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Nilipotukanwa na kuhukumiwa
ilikuwa powa kabisa, na sasa
naombwa pesa nikae kimpya.

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki mnooo, na sasa nazidi kuwafahamu.

Halafu peleleza saaana mimi sipo hapa saaana kwa hiyo furaha yangu sio hapa.
 
Usiogope kuombwa hela Dada, huyo anakupima Imani ajue kama kweli una mpenda au unataka kumchezea ๐Ÿคช๐Ÿคช.
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.

Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.
Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia. ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom