Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

mtaje id yake ili tumkanye aache tabia yake mbaya. mtaje...
 
mtaje id yake ili tumkanye aache tabia yake mbaya. mtaje...
Kwa kweli nimemwambia sina baada ya kunitia wasi wasi. Nilimuuliza atanilipaje kuwa tuko nchi tofauti, hakuwa na jibu sahihi. 😳🙄

Kama watu wengine mnafanyiwa hivi, nimesema muwe na tahadhari pia. 🙏🙏
 
Haya kama kuna wanaijiria humu wajitokeze wenyewe 😃
 
Wabongo wanaomba mbususu ila huyo mnaijiriiiia kafuata Nini tena

Ashawoo/asewo🙌
 
Haya bwana umeamua kuja kunisemea huku dadangu wakati tulikuwa wawili tu😬😬
 
Kwa kweli nimemwambia sina baada ya kunitia wasi wasi. Nilimuuliza atanilipaje kuwa tuko nchi tofauti, hakuwa na jibu sahihi. 😳🙄

Kama watu wengine mnafanyiwa hivi, nimesema muwe na tahadhari pia. 🙏🙏
mtaje tumjue mana Kuna mmoja alikua natabia Kama hio tulipo mkanya sisi wazee wajukwaa akaacha
 
Haya bwana umeamua kuja kunisemea huku dadangu wakati tulikuwa wawili tu😬😬
 
Haya bwana umeamua kuja kunisemea huku dadangu wakati tulikuwa wawili tu😬😬
Sio wewe ulioniomba na wala hatujawi kuongea kabisa, kwa kweli hatujuani kabisa. 😳🙄
 
Hahaha..............muache mtoa mada apimwe Imani, asije kuwa anampango wa kumchezea Mwanaume mwenzetu [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Amchezee[emoji3059]

Tumia mbadala ya kumchezea, imekaa kushoto hii sentensi[emoji41]
 
kusaidiana katika maisha ni jambo la kawaida sana. Kuna watu wanapitia changamoto kubwa sana katika maisha. Haijalishi ni ke/me. Kutana na hitaji la mtu kwanza na mengine ni ziada tu. Kama kweli ulihitaji mme pengine huyo ndo alikuwa mmeo.
 
Back
Top Bottom