nadhani jf inatakiwa kubadili mfumo katika kusajili id, maana wengine wana zaidi ya Id 4 na hawako serious katika mambo ambayo yanahitaji umakinijamii forum bwana!!!!kila siku wanawake wa huku wanatafuta wachumba wakiwa na IDs mpya!Sijui huwa wana nia gani?
Nakuombea kwa Mungu akutimizie haja ya moyo wako .... usikate tamaaMimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Compatibility!!!!Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake havijatokana na "mlango wa sits"
Compatibility!!!!
Hapo sikubaliani na wewe hata siku moja.
Ndoa inahitaji Upendo, Amani na heshima kwa wanandoa. Hivyo vigezo alivyovitaja sio msingi wa Upendo wala amani na wala heshima. Ni mambo ya kidunia tu. Wapo wasomi wengi waliowaoa Std 7 lakini wana amani kamili. Ndoa za wasomi ni majanga
Daima huwa nasisitiza kuhusu hili, elimu siyo historia yako ya kuhudhuria madarasa na kupewa makaratasi (vyeti). Elimu ni uelewa na umahili kiutendaji kazi kwa yale uliyojifunza / elekezwa.vigezo vingine siyo kwa ajili ya amani, wanawaza katika kujikwamua kimaisha na cha ajabu hawakumbuki kuwa unaweza ukawa na elimu lakini maisha yakakuchapa
" ...... ndoa inahitaji upendo, aman na heshima .... " nmepapenda hapoCompatibility!!!!
Hapo sikubaliani na wewe hata siku moja.
Ndoa inahitaji Upendo, Amani na heshima kwa wanandoa. Hivyo vigezo alivyovitaja sio msingi wa Upendo wala amani na wala heshima. Ni mambo ya kidunia tu. Wapo wasomi wengi waliowaoa Std 7 lakini wana amani kamili. Ndoa za wasomi ni majanga
Shida yako mapenzi au degree na stashahadaMimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
DuMimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.