Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

jamii forum bwana!!!!kila siku wanawake wa huku wanatafuta wachumba wakiwa na IDs mpya!Sijui huwa wana nia gani?
 
nadhani jf inatakiwa kubadili mfumo katika kusajili id, maana wengine wana zaidi ya Id 4 na hawako serious katika mambo ambayo yanahitaji umakini
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Nakuombea kwa Mungu akutimizie haja ya moyo wako .... usikate tamaa
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
 
Mambo nimesoma thread yako na mimi pia natafuta mchumba ambaye ndani ya miezi tunaweza kufanya harusi na kua mke na mume, tatizo hapo naona wewe uko Morogoro na mimi nipo Arusha . Kama kuna uwezekano ni pm.
 
Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake havijatokana na "mlango wa sits"
Compatibility!!!!
Hapo sikubaliani na wewe hata siku moja.
Ndoa inahitaji Upendo, Amani na heshima kwa wanandoa. Hivyo vigezo alivyovitaja sio msingi wa Upendo wala amani na wala heshima. Ni mambo ya kidunia tu. Wapo wasomi wengi waliowaoa Std 7 lakini wana amani kamili. Ndoa za wasomi ni majanga
 
vigezo vingine siyo kwa ajili ya amani, wanawaza katika kujikwamua kimaisha na cha ajabu hawakumbuki kuwa unaweza ukawa na elimu lakini maisha yakakuchapa
 
Daima huwa nasisitiza kuhusu hili, elimu siyo historia yako ya kuhudhuria madarasa na kupewa makaratasi (vyeti). Elimu ni uelewa na umahili kiutendaji kazi kwa yale uliyojifunza / elekezwa.
Kama ulijifunza kitu na hakikusaidii katika maisha ina maana hiyo siyo elimu kwako.
 
Compatibility!!!!
Hapo sikubaliani na wewe hata siku moja.
Ndoa inahitaji Upendo, Amani na heshima kwa wanandoa. Hivyo vigezo alivyovitaja sio msingi wa Upendo wala amani na wala heshima. Ni mambo ya kidunia tu. Wapo wasomi wengi waliowaoa Std 7 lakini wana amani kamili. Ndoa za wasomi ni majanga
" ...... ndoa inahitaji upendo, aman na heshima .... " nmepapenda hapo
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Shida yako mapenzi au degree na stashahada
 
duh shida sana watu elimu tunazo za kutosha tu shda ni ajira, sasa hapo ndio kitu kinafanya tukose wapenzi
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Du
 
Mbna kila anaetafuta ni mkristo,inamaanisha waislamu wote wameshaolewa au wanakufa na tai shingoni..
 
Back
Top Bottom