Crispin sam
Member
- Oct 27, 2015
- 49
- 5
mm nina degree...na kaz yangu ulinzi...ni PM.....[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Wako serious asee,mm nmewasliana naye sema tumetofautiana mahali ila yko bomba,kama vp npm nkupe detailsHIVI MNAKUAGA SERIOUS AU MNACHANGAMSHA GENGE?? MAANA HUA HAINIINGII AKILINI KWA MWANAMKE KUTAFUTA MCHUMBA AS IF ANATAKA KUOA
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
tehe tehe tehe tehe teheBila picha niku pm niingie hasara
hapana asee nisijekutanishwa na shoga bureWako serious asee,mm nmewasliana naye sema tumetofautiana mahali ila yko bomba,kama vp npm nkupe details
Wala ni binti tena mzuri tuuhapana asee nisijekutanishwa na shoga bure
kwani kazi ndio mume kaka....????kama una kazi yako nzuri unatafta mume kwa ajili ya nini?
Duh ila we mdada ni balaa. Hivi haujaacha utapeli wako!? Acha utapeli muogope MunguMimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Kumbe alikuwa wa huku kwetu.Ulishahama musoma?
Alikutapeli nini mkuu.Duh ila we mdada ni balaa. Hivi haujaacha utapeli wako!? Acha utapeli muogope Mungu