Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Ni pm, nina nusu degree na watoto 3, umri 40 yrs, karibu kama uko serious!!!
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
mm nina degree...na kaz yangu ulinzi...ni PM.....[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]
 
HIVI MNAKUAGA SERIOUS AU MNACHANGAMSHA GENGE?? MAANA HUA HAINIINGII AKILINI KWA MWANAMKE KUTAFUTA MCHUMBA AS IF ANATAKA KUOA
Wako serious asee,mm nmewasliana naye sema tumetofautiana mahali ila yko bomba,kama vp npm nkupe details
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
 
kama una kazi yako nzuri unatafta mume kwa ajili ya nini?
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Duh ila we mdada ni balaa. Hivi haujaacha utapeli wako!? Acha utapeli muogope Mungu
 
Ulihamia lini Morogoro?, maana wazawa wa hapo hawapo hivyo, unawazalilisha sana!!!!!!!. Hebu njoo inbox
 
Back
Top Bottom