Natafuta mchumba wa kiume

Kuna akili ya kusoma na akili ya maisha kama kweli unaukakika unatafuta mchumba hebu tafakari kuhusu kiwango cha elimu
 
Mkuu me ninania kwel ila elimu yangu 4m4 kama vp nipm
 
Ni pm tuongee labda wewe ni wangu maana vigezo vyote ulivyotaja ninavyo tena elimu nimeizidisha sana
 
Hujaweka sifa zako, sura, Rangi, umbo lako, kabila lako, unaonekana uko serious kweli
 
Nipo Serious je tukichati apa apa sebulen vibaya
 
Mimi sifa zote ninazo kasoro elimu kama kigezo cha elimu utaondoa twende kazi.
 
Elimu ndo inaolewa au inaoa?
Omba Mungu akupatie mume mwema, hatopatikana kwa vigezo ulivyovitaja, atapatikana kwa kutumia vyema milango yako ya fahamu mitano; hapo ndo mlango wa sita utakapofunguka na kuona yale yasiyoonekana kwa macho ya kawaida.
Umewai enda sokon ukanunua kitu kwa kutumia upendo kama cyo hela mh....ukiwasoma washaur wa masuala ya ndoa wenyewe wanashau mtu alolewe na mwanaume aliemzd wew kaa huna vigezo kaa pemben
 
Daaah!!! Ss hiyo form 6 ndo imeharibu kila kitu! Mimi ni mkristo mcha mungu elim yang ni darasa la 7 nahitaj mchumba pia! Sijaajiliwa, nimfanyabiashara, nna maduka matatu ya vifaa vya ujenzi, moja lipo hapo morogoro lingine lipo mlandizi mkoa wa pwan na lingine lipo kimara! Ila ni darasa la 7. So nimekosa mke hapo.
 
Nina masters ya cost account,cert ya hr,diploma ya law na degree ya IT umri miaka 35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…