Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ushapata ondoa Uzi basi[emoji855][emoji856]Nilishapata
aiseeKiwanja kina mgogoro hicho
Huyo uliyezaa naye alikushindwa sisi tutakuweza?Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Trouble maker, trouble maker, trouble maakeer hivi nn lakin [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini si mnaendelea kuwasiliana kuhusu maswala ya mtoto?
Mimi nina 55 naruhusiwa?0678672249
Huyu mtu inaonekana alikuwa anatafuta mume kweli.Na namba imewekwa? Muwe makini
Rusha ndoano tuVigezo na masharti viko friendly... Nakuombea
would u come pmSawa asante
NipoHiv kun watu bado wanatafutaga wachumba kumbe[emoji849]