Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Wewe unajishughulisha na nini na vip baba mtoto yupo ?
 
Back
Top Bottom