The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
😀 😀 😀 😀Najiamini mkuu ila ni vema kujua illi kupunguza idadi ya walionikataa 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀Najiamini mkuu ila ni vema kujua illi kupunguza idadi ya walionikataa 😀
wewe hutaki? me nataka nikuoe.Utapata
Tazama private message kama kweli uko tayarihiyo avatar hapo ndio wewe?
Nimeenda sijaikuta mkuu.Tazama private message kama kweli uko tayari
Kwahesabu ya haraka haraka ulizaa ukiwa na umri wa miaka 20 tu! mtoto umri miaka 6 na wewe 27
Umeanza kunipeperushia ndege wangu ujue... hebu mwambie blaza atulie kwanza bhanaMwanao ana umri gani? Nina kaka yangu hajaoa.
Inatia huruma sana maskini ya MunguKwahesabu ya haraka haraka ulizaa ukiwa na umri wa miaka 20 tu! mtoto umri miaka 6 na wewe 27
0678672249
Subiri kwanza ninunue gariwewe hutaki? me nataka nikuoe.
Kila la kheri mtaniPunguza umri nije sasa hivi pm
tutanunua tukiwa wote mamaa. embu njoo tufunge ndoa tunachelewesha bure watoto kuanza shuleSubiri kwanza ninunue gari
Wewe unajishughulisha na nini na vip baba mtoto yupo ?Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29