Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Mpole lakini umepewa mtoto na kuachwa?
 
Baba wa mwanao yuko wapi na mwanao ana umri gani? Tuanzie hapo kwanza.

Back
Top Bottom