Natafuta mchumba wa kiume

Ombi Natangaza kutia nia kuwa mgombea vigezo nimekidhi hapo kwenye umri nimezidi kidogo naomba ofisi ya moyo wako inifikirie.
Asante
 
Sifa zote ninazo ila avatar yako tu imenitisha hadi nimeogopa (bikira23) mbona ulipendelewa zote hizo, wakati wengi wanapewa mbili tu

Huu uzi lazima walafi wa bikra wapigwe, maana mtoa mada mara mwanamke mara mwanaume,
 
Naomba unitafute haraka Sana ninauhitaji Sana.mjasilimali mdogo nafanya kazi
 
Noma sana, I'd tu inareflect kila kitu kuhusu wewe

California love
 
Karibu pm hutajuta kuwa na Mimi mpendwa.mimi nitavumilia mpaka ndoa Kama ulivyo sema.
 
Matapeli kazin, kuweni makini kuna kondoo anatafutwa hapa
 
Usituharibie !!!! Tupo bizy kusaka ridha kwenda kugombea ubunge2020
 
Hatujasahau mlichomfanyia Mdude chadema
 
Ile post nyingine inaonesha kam ni Wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…