Natafuta mchumba wa kudumu

Natafuta mchumba wa kudumu

umenipata vyema!anzisha maisha yako tu suala la mke nature ita-select na nafsi yako itakuambia huyu ndiye mke,at that point usirudi nyuma.
Kunarafiki yangu niliwahi msikia anaongelea hiki kitu kuwa ukikutana nae tu nafsi inakubali Kwamba huyu ndie hata haichukui muda Wala nenda rudi ila sie wanawake ndio mtihani sana
 
Kunarafiki yangu niliwahi msikia anaongelea hiki kitu kuwa ukikutana nae tu nafsi inakubali Kwamba huyu ndie hata haichukui muda Wala nenda rudi ila sie wanawake ndio mtihani sana
nyie by nature hamna haki ya kuchagua, mnatakiwa kuchaguliwao na mwanamke unaweza kuendana na mwanaume yeyote sababau mmepewa uwezo wa kummiliki mwanaume na ndio maana kuna misemo kama mwanaume kwa mwanamke ni kama mfupa kwa fisi na hata biblia imetambua uwezo wenu katika kujenga au kubomoa nyumba.
 
nyie by nature hamna haki ya kuchagua, mnatakiwa kuchaguliwao na mwanamkea unaweza kuendana na mwanaume yeyote sababau mmepewa uwezo wa kummiliki mwanaume na ndio maana kuna misemo kama mwanaume kwa mwanamke ni kama mfupa kwa fisi na hata biblia imetambua uwezo wenu katika kujenga au kubomoa nyumba.
Kweli kabisa
 
~ Mwenye utayari, financially awe anajiweza.
~ Wakawaida kiumbo, sio lazma pisi kali😃.
~ 20-23 years.
~ Elimu level yoyote.
~ Mweusi/Mweupe.
~ Mvumilivu, charming sana.
Mengine tutarekebishana
Please PM me.
miaka 20-23 financially awe anajiweza. kwa huo umri mbona anakuwa bado anasoma au labda atoke ushuani kama kina mo dewji
 
Mchumba wa kudumu...[emoji848][emoji2827]
Sio mchumba atakayebadilika kuwa mke!
 
Back
Top Bottom