Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kunarafiki yangu niliwahi msikia anaongelea hiki kitu kuwa ukikutana nae tu nafsi inakubali Kwamba huyu ndie hata haichukui muda Wala nenda rudi ila sie wanawake ndio mtihani sanaumenipata vyema!anzisha maisha yako tu suala la mke nature ita-select na nafsi yako itakuambia huyu ndiye mke,at that point usirudi nyuma.