Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Nafanya kazi melini utakubali kuvumilia miezi kadhaa?
 
Nikutakie safar njema japo na mimi nasaka mchumba lakini kuna kipengele sijakiza kama hautojali kipengele hicho njoo pm tujue tunafanyeje.
 
Stage ya pili ina ugumu gani kaka?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Stage ya pili ina ugumu gani kaka?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Mnapokuwa kwenye stage ya kwanza mara nyingi panakuwa hakuna ahadi yoyote mnakuwa ni marafiki tu, kwa hiyo kila mtu anaishi kwa uhuru na kujiachia kama kawaida, nothing to hide, mnapofikia hatua ya uchumba wote majaribu kuficha uhalisia wenu ili kila mmoja kuweza kumfurahisha mwenzake, sasa hapa ndo nikasema kuwa wakati wa ucha ni mgumu sana kwamaana asilimia kubwa mtakuwa mnaishi fake life.
sasa chukulia mfano binti hamkuwahi kuwa marafiki before (girlfriend /boyfriend) mkaja kuwa wachumba direct, hapo inamaana utakuwa hujui uhalisia wake (her true colors), sasa ukaja gundua kuwa anaishi in a fake life, au kuna ambayo amekuficha kuhusu life yake before you, HAPO HAKUNA NDOA TENA.
 
Njoo Pm Dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…