Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu ww mbona mna Fatana fatana?Umefuata nn huku?
mlango wa jelaAisee atakayekubali kumuoa uyo binti jiandae kwenda jela miaka 30. ..ni mwanafunzi uyo nyara za serikali ooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafatana na nani sasa we una ona mtu nyuma angu? Alafu ndo umeamka auAfu ww mbona mna Fatana fatana?
Stage ya pili ina ugumu gani kaka?Hivi hawa wanawake wanao tafuta wakuolewa nao kwenye media huwa wanafugika kweli. By the way hakunaga mwanaume wa kuona naona hiyo yaani direct tu. Mambo yanaanza kwenye upenzi kwanza ( girl friend boy friend) kisha mnakuja stage ya uchumba ndo ndoa inakuja. stage ngumu sana ni ya pili. ukimaliza hiyo vizuri ndoa hiyooo.
Kalete fimboTunafatana na nani sasa we una ona mtu nyuma angu? Alafu ndo umeamka au
Utanchapa wap?Kalete fimbo
Skuchapi wewe.Utanchapa wap?
Nani unamchapa?Skuchapi wewe.
Mnapokuwa kwenye stage ya kwanza mara nyingi panakuwa hakuna ahadi yoyote mnakuwa ni marafiki tu, kwa hiyo kila mtu anaishi kwa uhuru na kujiachia kama kawaida, nothing to hide, mnapofikia hatua ya uchumba wote majaribu kuficha uhalisia wenu ili kila mmoja kuweza kumfurahisha mwenzake, sasa hapa ndo nikasema kuwa wakati wa ucha ni mgumu sana kwamaana asilimia kubwa mtakuwa mnaishi fake life.Stage ya pili ina ugumu gani kaka?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hehehe oa huyo mkuu!
brain is the beautiful part of the body.
Siku hizi The so called 'MY BABY'S MOTHER' ndo wako wengi sana!!Kwa sasa miaka 20-25 ndo umri mzuri kwa binti kuolewa kama hana kikwazo! Ukisubiri ufike 27+ unabaki kwenye probability
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaashakuwa zimba jamaa
Hi jamani,
Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
Awe mrefu wastani kuanzia foot 5-6.
Awe amesoma angalau had fom four
Awe ameajiliwa au anejiajiri sawa tu
Awe mkweli na mwenye busara.