Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Mdogo wangu nakushauri usome kwanza wanaume watakuja tu......we bado ni mdogo focus kwenye maisha yako na ukiwa na elimu yako hakuna mtu atakaekubabaisha......trust me
Akiwa na hela zake au elimu yako ....? Tunawaona wenye elimu nao kibao wanahangaika kuolewa ila ujue kuolewa nako kama mawindo ya ngiling8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😛😛Kwani huko Mby hakuna wanaume?
 
Back
Top Bottom