DADDYNOLAN
Member
- Jun 11, 2017
- 82
- 71
Huo umri mbona ni wakusoma kabisa tena form five A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa na hela zake au elimu yako ....? Tunawaona wenye elimu nao kibao wanahangaika kuolewa ila ujue kuolewa nako kama mawindo ya ngiling8Mdogo wangu nakushauri usome kwanza wanaume watakuja tu......we bado ni mdogo focus kwenye maisha yako na ukiwa na elimu yako hakuna mtu atakaekubabaisha......trust me
Usimkatishe mwenzio ndoto mkuu!inekuwa mi ni wewe ningekula bata mpaka 25 ndiyo nitangaze
sawaUsimkatishe mwenzio ndoto mkuu!
brain is the beautiful part of the body.
Nimemshauri kutokana na age yake peiodAkiwa na hela zake au elimu yako ....? Tunawaona wenye elimu nao kibao wanahangaika kuolewa ila ujue kuolewa nako kama mawindo ya ngiling8
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok poa vip ww umeolewa[emoji85][emoji85][emoji85]Nimemshauri kutokana na age yake peiod
Hehehe oa huyo mkuu!ahahahahahahahahaha hali si shwari
Mkuu najua unapenda sana slope ila bainisha ni ainagani ya slope kati ya gentle au steep?
Sijaolewa ila nina mchumba
Dah hongera na kwa shemeji piaSijaolewa ila nina mchumba
Ooohhh kumbe humu waoaji ni wachache.......safi
Kama shemeji naye yupo humu jua tu wachacheOoohhh kumbe humu waoaji ni wachache.......safi
Heheehheeeeee haya bhana