Natafuta mchumba wa kunioa

Natafuta mchumba wa kunioa

touch on

Senior Member
Joined
Oct 8, 2019
Posts
141
Reaction score
216
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.

Mungu awe pamoja na wew

kelphin kepph
 
Unajishughulisha na nini hapo au chanzo cha mapato yako ni nini, siyo uolewe ukawe dependant wanaume siku hizi wajanja dogo, wanaangalia una kitu gani cha kuchangia ili familia yenu icheze karibu na choo.

Kila la heri katika kutafuta mchumba
 
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushazaa mtoto? Hafu mbona umri wako bado mdogo hiyo mikiki ya ndoa utaiweza?
 
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo nyie mabinti mlio wengi ni pasua kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom