touch on
Senior Member
- Oct 8, 2019
- 141
- 216
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app