Natafuta mchumba wa kunioa

Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Unataka amjueje Paula? Huyo anatoka familia yenye maadili ya kidini kweli kweli, baba na kaka wawepo..dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…