Natafuta mchumba wa kunioa

Natafuta mchumba wa kunioa

Mkuu naona leo unatafuta wa kukuangusha na wewe... Acha uFirauni

Capturev.JPG
 
Una uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
Shez so yesterday[emoji1][emoji1][emoji1] atakua mtoto wa mchungaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unataka kuoelewa ?
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na dem wa kirangi nikasafiri miezi kama 8 nakuja kurudi namkuta ana mimba ya miezi 5,kumuuliza hana jibu,wanakau malaya hao watu,sijui huo weupe wao ndo unawafanya watoe utam kila sehem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..

Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Amaizing stuff

Yaani niongee na baba kabla ya kuonana face to face na wewe??

Halafu comment zako zinaonyesha wewe ni kidume
 
Back
Top Bottom