Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Mambo ya Interview hayo na huweza kuendelea hata baada ya ndoa. Chochote unachohitaja ni lazima mama akupige interview kwanza. Poleni vijana wa kisasa.Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app