Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Kila la heri mpendwa hata ukija pm kwangu ni sawa karibu Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MambMimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
0747334146 nitafutaMimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
mchumba haoi, sema una tafuta mume wa kukuoaMimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
warangi! hapana labda itokee tuu... NIMEKOMA.
Unawaza ya kipindi cha miaka ya 60 binti. Yaani unataka mtu mkubariane kwenye simu bila hata kumuona kwanza?. Unafikiri hawa vijana ni wale wakweli wa miaka ya 70?. Je kama ana matatizo fulani fulani yale ambayo hukuyatarajia?. Labda viuongo,kupungua uwezo wa kiakili n.k. Halafu iweje usimsome kwanza huyo mumeo mtarajiwa?.Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...! Watu mnafukua hakipiti kituHuyu ni mwanaume angalia alicho changia katika huu uzi #5#.
Pambana na magonjwa yafuatayo kwa kutumia bamia
Watu wengi tumekuwa hatutumii bamia either kwa ladha yake au tu kasumba ya kuona bamia ni MBOGA ya walalahoi ! Leo naomba ufahamu bamia kama moja ya mboga za majani ndio MBOGA yenye uwezo wa kusaidia afya zetu. Bamia ina utajiri wa nutrients mbali mbali. Nutrients hizo ni: 1) Calories - 30...www.jamiiforums.com
Wewe ni msichana au shoga?Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaotania kwenye vitu serious siwapendii ndo Nini sasaKabila "Mrangi"! Haya buanaa, wenye haja ya kuchapiwa, nendeni PM
Hili swali limeshaulizwa Mara nyingi na majibu yakatolewa labda mwenzetu Ni mgeni humu.Lakini nikuulize kidogo
Hakuna vijana wanaokutafuta tafuta Apo mtaani kwenu?
kelphin kepph