Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

Kitone

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
6
Reaction score
6
Mimi naitwa Peter John ni mkazi wa Dodoma nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba wa kuoa, awe na sifa zifuatazo;

Awe na elimu kuanzia form four
Awe mkweli
Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni 0742865675

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiweke kwenye mazingira ya kupata mwenza, nenda kwenye nyumba za ibada, hudhuria seminars, tembelea ndugu, jamaa na marafiki na kuwa friendly and bold when you see someone you are attracted to!

Kwenye mitandao ya kijamii sio eneo zuri sana labkupata mwenza sahihi, ni kama ile tv show ya mtv ya blind date au ile ya a date from hell!!
 
hahahahahahah mie nachefukwaaaaaaaaaaaa
Mwanangu akianza huu mtindo namchapa bakora. Kuna kipindi anajibu message anaandika "k" eti ndio okay, nikamwambia hiyo lugha yako sitaki kuiona machoni mwangu.
 
Back
Top Bottom