Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Kama hadi sasa bado unatafuta mwanaume HANDSOME badala ya mwenye MALENGO...wewe bado hauna lengo la kuolewa
 
Mbona sifa zako ni chache sana yan mke anavigezo kidogo ivooo aiseeh mume mwema analetwa na bwana
 
Noted...hakika lazima nimpeleke mtoto wangu akosome UDSM apate degree awe kama wewe...kumbe UDSM wanatoa product nzuri sana!!
 
Nina vigezo vyote ila tatizo hayo matusi ulitapika humu ngumu kumeza.
Ila usijali wapo wenye mioyo migumu utapata tu
 
Unataka ndoa au burudani endelea na mume wa mtu siku hizi hakuna wanaume wa namna hiyo
 
mtaani kwenu umewamaliza sasa unakuja mitandaoni mmmm!! sijui jaribu kuendelea kutafuta kama unaweza ukabaatika sawa ennh
 
Kwenye public kama hii jaribu kupunguza kupanic asa matusi mana unajiharibia but nakuja pm[emoji41]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…